Ufafanuzi juu ya Upotoshwaji wa Tafsiri ya Yohana 20:23 – Kuwasamehe Wenye Dhambi
“If you forgive anyone’s sins, they have been forgiven them. If you retain anyone’s sins, they have been retained.”
Kuna wanaoamini Yesu aliwapa Viongozi mamlaka ya kusamehe watenda dhambi na kwa hiyo huu mstari umetafsiriwa kwa namna hiyo na inatumika kwa namna hiyo kwa baadhi ya madhehebu. Tukubali kwanza kuwa Wanafunzi wa Yesu sio viongozi tu. Muumini yeyote aliyempokea Kristo na kuyashika mafundisho yake ni Mwanafunzi wake Yohana 8:31
kutoamini kama dhambi na kwa hiyo aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kuwasamehe wapagani waliokuwa wamekubali kumpa Kristo maisha yao kwa kuamini. Msamaha hapa unasimamia kumpokea mtu kwenye ufalme wa Mungu. Kristo aliwapa wanafunzi wake hayo mamlaka lakini sio hizi zingine za kuchukua nafasi ya Kristo ya kuwasamehe walevi, wazinzi, wauaji nk..
“Mkiwasamehe watu dhambi zao, wamesamehewa; msipowaondolea, hawasamehewi.”
Yohana 20:23
Kwa Kiingereza
“If you forgive anyone’s sins, they have been forgiven them. If you retain anyone’s sins, they have been retained.”
Please login to post a comment.