mwalimu
• 1418 Videos
Favorites
326 Views
Description
Amekuja Mwokozi
K: /:Geukeni
W: mioyo. :/
K: /:Watatupwa wenye kiburi.
W: Geukeni mioyo. :/
W: mioyo. :/
K: /:Watatupwa wenye kiburi.
W: Geukeni mioyo. :/
K:/ Ana ungo
W: mkononi, :/
K:/ kupepeta ngano yake.
W: Ana ungo mkononi. :/
K:/Nabatiza
W: kwa maji, :/
K: Yeye, hubatizwa kwa roho.
W: Nabatiza kwa maji.:/