Jina Lake Yesu Tamu
How sweet the name of Jesus Sounds
1. Jina lake Yesu tamu tukilisikia
Hutupoza, tena hamu hutuondolea
2. Roho iliyoumia kwalo hutikibika,
Chakula, njaani pia; Raha tukichoka
3. Jina hili ni msingi, Ngao, ngome, mwamba,
Kwa hili napata wingi kwangu ni akiba
4. Yesu, Mchunga, Rafiki, mwalimu kuhani
Mwanzo, Mwisho, Njia, Haki, Uzima kifoni
5. Moyo wangu hauwezi, kukusifu kweli,
Ila sifa zangu hizi, Bwana zikubali
6. Na utakaponiita, kuja kwako Bwana
Huko kwako sitaacha kukusifu sana
jina la Yesu – YouTube
http://www.youtube.com/watch%3Fv%3DFmmbxP4v-k8
Oct 23, 2009 … Jina La Yesu – Marion Shakoby JCCMombasa104 views; jina lake yesu … Jina la yesu tamu-St.Teresa’s Eastleigh choir.by maurice musyoka42 …
NzIY: Nos. 2-25 « Mia Himnareto – My Little Hymnal
10 Machi 2009 … 2 Baba, Mwana, Roho – Holy, Holy, Holy; 3 Watu wa Yesu – O Worship … Thou Fount of Every Blessing (Warrenton); 24 Jina Lake Yesu Tamu …
Ian Mbugua – Tumsifu
http://www.kentunes.com/Tumsifu.html
Bwana Yesu Naja, 3:30. Habari Njema, 3:06. Jesu Nigwendete, 4:04. Yesu Nikikumbuka, 2:51. Jina Lake Tamu, 4:49. Kaa Nami, 4:20. Mwathani Ni Utheru …
Jina la yesu tamu-St.Teresa’s Eastleigh choir.
ST.BAKHITA NAIROBI MASS CHOIR 10:00AM COMPOSER:WINFRED MOGIRE