mwalimu
• 1418 Videos
Favorites
330 Views
Description
Moyo Wangu Sikiliza
Mponya amekuja leo
kutoka mbinguni,
aokoe watu.
Mungu wetu ameshuka,
akawa mwana mtu
kwa ajili yetu.
kutoka mbinguni,
aokoe watu.
Mungu wetu ameshuka,
akawa mwana mtu
kwa ajili yetu.
Basi tumwendee
hima wakubwa wadogo,
njooni wote sasa!
Yule anayetupenda,
tumpende na sisi
awe mwanga wetu.
Ninakaa ulimwenguni
lakini napenda
kuhamia kwako.
Mwisho niwe
furahani pamoja na Wewe,
mwenye utukufu.