mwalimu
• 1418 Videos
Favorites
287 Views
Description
Wakristo Iwekeni Mioyo Tayari
Mwokozi anakuja,
mlimieni njia!
Mioyo iwe safi
acheni matendo
yanayomchukiza.
Lijazwe kila bonde,
milima ipunguzwe
mioyoni mwenu.
mlimieni njia!
Mioyo iwe safi
acheni matendo
yanayomchukiza.
Lijazwe kila bonde,
milima ipunguzwe
mioyoni mwenu.
Uniweke tayari
niliye maskini,
Ee Yesu
siku hizi kwa rehema yako.
Ingia moyoni,
ukinijia sasa.
Nami nitakusifu kwa kinywa na moyo