mwalimu
• 1418 Videos
Favorites
242 Views
Description
Watoto Njooni Bethlehemu
Twaona kitoto kizuri hapa,
wazee wamtazama,
wachungaji wote wamwangukia
malaika wa mbingu wanamwimbia.
malaika wa mbingu wanamwimbia.
Watoka mbinguni utuokoe,
waona uchungu sababu yetu,
Leo wazaliwa mwana kikiwa.
Halafu wateswa, unatufia
waona uchungu sababu yetu,
Leo wazaliwa mwana kikiwa.
Halafu wateswa, unatufia
User Reviews
Be the first to write a review